Kwa mujibu wa mtandao wa Rolling stone Marekani unataja kuwa wimbo wa Davido‘Fall’ umepata mzungumzko mkubwa kwenye maskio ya wananchi nchini humo tokea uachiwe June 2,2017.
Pia kwa mujibu wa Nielsen wimbo huo unatajwa kuchezwa mara 482 hadi sasa kwenye radio 36 huku vituo vingine vinne vikitajwa kuongezeka wiki kadhaa zilizopita. Kwenye upande wa kusikilizwa Fall imeingia kwenye nyimbo 100 zilizosikilizwa zaidi Marekanikwenye Shazam na pia imeingia kwenye rekodi ya top 10 ya Shazam.
No comments:
Post a Comment